NMN Longevity Capsule
Viungo:
Fruits and vegetables extract, yeast extract, blueberry extract
Kazi Na Faida Zake
- Kuiweka afya kuwa nzuri
- Kuongeza urefu wa maisha
Yafaa Kwa:
- Watu wazima wa rika na jinsia zote
Maelezo Muhimu:
NMN Ni Nini?
NMN (Nicotinamide Mononucleotide) ni malighafi muhimu ya molekuli ya nicotinamide adenine dinucleotide (NAD+) na inachukuliwa kuwa ni kiungo muhimu katika kuongeza kiwango cha NAD+ katika seli.
NAD+ Hufanya Kazi Gani?
1. NAD+ inahusika katika kutengeneza nishati (ATP energy currency.)
2. NAD+ ni sehemu pekee ambako kimeng'enya kinachofanya kazi za kukarabati DNA na seli zilizoharibika, kupunguza kasi ya kujigawa kwa seli na kuzuia kutokea kwa kansa, kiitwacho PARP hutunzwa.
3. Kukarabati Sirtuins ambazo ni aina ya protini iliyomo ndani ya seli inayohusika na kuishi maisha marefu (longevity genes).
Faida Za NMN katika Mwili
> MNM huongeza usikivu wa mwili kwa insulin na kuongeza uwezo wa mwili wa kuvumilia glucose.
> Hupunguza kudhoofu kwa afya ya moyo na mishipa ya moyo
> Kulinda misuli ya moyo kutokana na oxidative stress, kuzuia kutanuka kwa moyo, kupunguza lipids ndani ya damu.
> Kutunza nguvu ya utendaji kazi ya misuli ya moyo.
> Kuboresha utendaji wa nyuroni za ndani ya eneo la ubongo la hippocampus linalohusika na kumbukumbu na kujifunza.
<<<<< MWANZO